• HABARI MPYA

    Saturday, October 08, 2016

    ENGLAND YAILAZA 2-0 MALTA

    Mshambuliaji Daniel Sturridge akiruka mbele ya mabeki wa Malta kuifungia kwa kichwa England katika mchezo wa Kundi F kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Wembley, London leo. England ilishinda 2-0, bao lingine likifungwa na Dele Alli PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ENGLAND YAILAZA 2-0 MALTA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top