• HABARI MPYA

    Tuesday, October 11, 2016

    DANNY LYANGA, MRISHO NGASSA NA MAISHA YAO OMAN

    Wachezaji wawili wa Tanzania waliosajiliwa na Fanja ya Oman hivi karibuni, Mrisho Ngassa (kulia) na Danny Lyanga (kushoto) wakifurahia na fulana za klabu yao wakati wakielekea mazoezini. Chini ni baada ya kuvaa jezi tayari kwa mazoezi 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DANNY LYANGA, MRISHO NGASSA NA MAISHA YAO OMAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top