• HABARI MPYA

    Monday, October 10, 2016

    COSTA NA NOLITO WAFUNGA HISPANIA YASHINDA 2-0 UGENINI KOMBE LA DUNIA

    Mshambuliaji wa Hispania mzaliwa wa Brazil, Diego Costa (katikati) akiwatoka mabeki wa Albania usiku wa jana katika mchezo wa Kundi G kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Loro Borici, Shkoder. Hispania ilishinda 2-0, mabao ya Costa na Nolito  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: COSTA NA NOLITO WAFUNGA HISPANIA YASHINDA 2-0 UGENINI KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top