• HABARI MPYA

  Monday, October 10, 2016

  CIRO IMMOBILE AGONGA MBILI ITALIA IKIIBUTUA 3-2 MACEDONIA

  Ciro Immobile akishangilia baada ya kuifungia Italia bao la ushindi dakika ya 90 na ushei ikiilaza 3-2 Macedonia katika mchezo wa Kundi G kufuzu Kombe la Dunia usiku wa jana Uwanja wa Nacionalna Arena Filip II Makedonski mjini Skopje. Immobile alifunga bao lingine kabla ya hilo dakika ya 75, wakati bao lingine la Italia lilifungwa na Andrea Belotti huku mabao ya Macedonia yakifungwa na Ilija Nestorovski dakika ya 57 na Ferhan Hasani dakika ya 59 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CIRO IMMOBILE AGONGA MBILI ITALIA IKIIBUTUA 3-2 MACEDONIA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top