• HABARI MPYA

    Saturday, October 15, 2016

    CHELSEA YAWATANDIKA 3-0 LEICESTER CITY

    Nyota wa Ubelgiji, Eden Hazard akishangilia na mchezaji mwenzake, Victor Moses (kushoto) baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 33 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya mabingwa watetezi, Leicester City Uwanja wa Stamford Bridge, London leo. Moses naye alifunga bao la tatu dakika ya 80, wakati bao la kwanza lilifungwa na Diego Costa dakika ya saba PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA YAWATANDIKA 3-0 LEICESTER CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top