• HABARI MPYA

  Sunday, October 16, 2016

  BOCCO AKABIDHIWA MKWANJA WAKE WA TUZO YA MCHEZAJI BORA LIGI KUU SEPTEMBA

  Nahodha wa Azam FC, John Bocco akikabidhiwa mfano wa hundi ya Sh. Milioni 1 kwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa mwezi Septemba leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kabla ya mchezo wa ligi hiyo baina ya timu yake hiyo na Yanga uliomalizika kwa sare ya 0-0 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BOCCO AKABIDHIWA MKWANJA WAKE WA TUZO YA MCHEZAJI BORA LIGI KUU SEPTEMBA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top