• HABARI MPYA

  Tuesday, October 11, 2016

  BENTEKE AWEKA REKODI YA BAO LA MAPEMA KOMBE LA DUNIA

  Mshambuliaji wa Ubelgiji, Christian Benteke baada ya kufunga bao la mapema zaidi katika ya Kombe la Dunia usiku wa jana sekunde ya saba katika ushindi wa 6-0 dhidi ya wenyeji, Gibraltar Uwanja wa Estadio Do Algarve mjini Sao Joao da Venda. Katika mchezo huo wa Kundi H kufuzu Kombe la Dunia 2018 Urusi, Benteke alifunga mabao matatu dakika za kwanza, 43 na 56, wakati mengine yalifungwa na Axel Witsel dakika ya 19, Dries Martens dakika ya 51 na Eden Hazard dakika ya 79 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BENTEKE AWEKA REKODI YA BAO LA MAPEMA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top