• HABARI MPYA

    Saturday, October 08, 2016

    AFRICAN LYON ILIVYOITULIZA NDANDA FC 1-0 TAIFA LEO

    Kiungo William Otong (kushoto) akifuatwa na wachezaji wenzake wa African Lyon kumpongeza baada ya kufunga bao pekee dakika ya 76 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Ndanda FC ya Mtwara kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam






    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AFRICAN LYON ILIVYOITULIZA NDANDA FC 1-0 TAIFA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top