• HABARI MPYA

    Thursday, September 08, 2016

    YANGA NA NDANDA KATIKA PICHA JANA MTWARA

    Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma (kushoto) akivuta kasi kumtoka beki wa Ndanda FC, Paul Ngalema katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara. Timu hizo hazikufungana 
    Kiungo wa Yanga, Salum Telela akiudhibiti mpira mbele ya Simon Msuva wa Yanga na mchezaji mwenzake, Paul Ngalema
    Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akivuta kasi kuwatoka wachezaji wa Ndanda
    Kiungo wa Yanga, Deus Kaseke (kulia) aijaribu kumtoka mchezaji wa Ndanda FC
    Beki wa Yanga, Juma Abdul (kulia) akigombea mpira na kiungo wa Ndanda, Kiggi Makassy
    Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akimtoka beki wa Ndanda FC
    Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko akimtoka kiungo wa Ndanda, Salum Telela jana
    Deus Kaseke wa Yanga akiruka juu kuwania mpira dhidi ya mchezaji wa Ndanda
    Kikosi cha Ndanda jana 
    Kikosi cha Yanga jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA NDANDA KATIKA PICHA JANA MTWARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top