• HABARI MPYA

  Thursday, September 08, 2016

  YAKITOKEA MAAFA NANGWANDA, NDIPO WAKUBWA WATACHUKUA HATUA!

  Mashabiki wakiwa wameketi juu ya ukuta wa Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara kufuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya wenyeji, Ndanda FC na Yanga SC jana uliomalizika kwa sare ya 0-0.
  Mashabiki hawa ambao bila shaka waliingia kwa kuruka ukuta, hawakujali hatari yoyote juu ya maisha yao 
  Na inaelezwa hii ni kawaida kwa mashabiki kuruka ukuta na kuketi hivi Uwanja wa Nangwanda, ingawa mamlaka hazijachukua hatua yoyote - labda hadi yatakapotokea maafa. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YAKITOKEA MAAFA NANGWANDA, NDIPO WAKUBWA WATACHUKUA HATUA! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top