• HABARI MPYA

    Monday, September 05, 2016

    UJERUMANI YAITANDIKA 3-0 NORWAY KUFUZU KOMBE LA DUNIA

    Thomas Muller akishangilia baada ya kuifungia Ujerumani bao la tatu na la pili kwake katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Norway kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa kanda ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Ullevaal mjini Oslo. Bao lingine la Ujerumani lilifungwa na Joshua Kimmich PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UJERUMANI YAITANDIKA 3-0 NORWAY KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top