• HABARI MPYA

    Wednesday, September 07, 2016

    UFARANSA YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA BELARUS

    Kiungo wa Ufaransa, Paul Pogba (kulia) akipambana na Beki wa Belarus, Dzyanis Polyakow katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia usiku wa jana Uwanja wa Borisov Arena timu hizo zikitoka sare ya 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UFARANSA YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA BELARUS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top