• HABARI MPYA

    Wednesday, September 07, 2016

    SNEIJDER AINUSURU UHOLANZI KULALA KWA SWEDEN

    Mshambuliaji wa Sweden, Marcus Berg akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kuongoza katika sare ya 1-1 na Uholanzi kufuzu Kombe la Dunia usiku wa jana Uwanja wa Friends Arena mjini Solna. Bao la Uholanzi lilifungwa na Wesley Sneijder PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SNEIJDER AINUSURU UHOLANZI KULALA KWA SWEDEN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top