• HABARI MPYA

  Thursday, September 08, 2016

  SIMBA SC NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA JANA

  Beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' (katikati) akipambana na wachezaji wa Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-1
  Kiungo wa Simba SC, Mwinyi Kazimoto akimtoka mchezaji wa Ruvu Shooting
  Kipa wa Ruvu Shooting, Abdallah Rashid akiwa amedaka mpira jana
  Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Hajib akimtoka mchezaji wa Ruvu Shooting
  Kikosi cha Simba SC jana Uwanja wa Uhuru
  Kikosi cha Ruvu Shooting jana Uwanja wa Uhuru
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA JANA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top