• HABARI MPYA

    Wednesday, September 07, 2016

    RASHFORD AIGONGEA HAT TRICK ENGLAND IKIUA 6-1

    Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia hat trick timu ya vijana chini ya umri wa miaka 21 ya England katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Norway usiku wa jana kuwania tiketi ya Euro 2017. Mabao mengine ya England yalifungwa na Nathaniel Chalobah, Ruben Loftus-Cheek na Lewis Baker, wakati la kufutia machozi la Norway lilifungwa na Ghayas Zahid mjini Colchester PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RASHFORD AIGONGEA HAT TRICK ENGLAND IKIUA 6-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top