• HABARI MPYA

    Thursday, September 15, 2016

    MOURINHO AGONGWA TENA, MAN UNITED YAPIGWA 1-0 UHOLANZI EUROPA LEAGUE

    Kocha wa Manchester United, Mreno Jose Mourinho akihamaki baada ya timu yake kuanza vibaya mchezo wa Kundi A Europa League kwa kufungwa 1-0 na wenyeji Feyenoord bao pekee la Tonny Vilhena dakika ya 79 akimalizia pasi ya Nicolai Jorgensen Uwanja wa Feijenoord mjini Rotterdam, Uholanzi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MOURINHO AGONGWA TENA, MAN UNITED YAPIGWA 1-0 UHOLANZI EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top