• HABARI MPYA

    Saturday, September 17, 2016

    MESSI, NEYMAR, SUAREZ WOTE WAFUNGA BARCA YAUA 5-1 LA LIGA

    Wakali watatu wa Barcelona, kutoka kushoto Lionel Messi, Luis Suarez na Neymar wakishangilia ushindi wa 5-1 ugenini dhidi ya wenyeji Leganes Uwanja wa Manispaa ya Butarque mjini Leganes katika mchezo wa La Liga leo. Messi alifunga mabao mawili dakika za 15 na 55, Suarez moja dakika ya 31, Neymar moja dakika ya 44 na lingine Rafinha dakika ya 64, wakati la kufutia machozi la wenyeji lilifungwa na Gabriel dakika ya 80 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI, NEYMAR, SUAREZ WOTE WAFUNGA BARCA YAUA 5-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top