• HABARI MPYA

    Thursday, September 15, 2016

    MANYI ISSA NA MUSTAFA DOTO KUZIPIGA OKTOBA 2 KIMARA KOROGWE

    Mabondia Manyi Issa (kushoto) na Mustafa Doto (kulia) wakitunishiana misuli baada ya kusaini mkataba wa kupigana Oktoba 2, mwaka huu katika pambano lisilo la ubingwa ukumbi wa White House, Kimara Korogwe, Dar es Salaam

    Bondia Iddi Mkwela kushoto akitambiana na Issa Nampepeche mara baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Oktoba 23, mwaka huu ukumbi wa CCM Mwinjuma, Mwananyamala, Dar es Salaam katika pambano lisilo la ubingwa   
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MANYI ISSA NA MUSTAFA DOTO KUZIPIGA OKTOBA 2 KIMARA KOROGWE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top