• HABARI MPYA

  Thursday, September 15, 2016

  MAHREZ AFUNGA MAWILI LEICESTER IKIANZA NA MOTO LIGI YA MABINGWA, YAUA 3-0 UGENINI

  Ryad Mahrez (kulia) akishangilia na wenzake baada ya kuifungia kwa penalti Leicester City dakika ya 61 hilo likiwa bao lake la pili usiku wa jana baada ya awali kufunga dakika ya 29 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Club Brugge kwenye mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Jan Breydel mjini Brugge. Bao lingine la Leicester lilifungwa na Marc Albrighton dakika ya tano PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAHREZ AFUNGA MAWILI LEICESTER IKIANZA NA MOTO LIGI YA MABINGWA, YAUA 3-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top