• HABARI MPYA

    Wednesday, September 07, 2016

    LUKAKU APIGA MBILI UBELGIJI YASHINDA 3-0 UGENINI

    Romelu Lukaku akishangilia na Marouane Fellaini baada ya kuifungia Ubelgiji mabao mawili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Cyprus usiku wa jana mjini Nicosia. Bao lingine la Ubelgiji lilifungwa na Yannick Carrasco PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LUKAKU APIGA MBILI UBELGIJI YASHINDA 3-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top