• HABARI MPYA

    Saturday, September 17, 2016

    LIVERPOOL HAWAFAI, SI WAMEIANGUSHA CHELSEA DARAJANI!

    Nyota wa Liverpool, Jordan Henderson akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 36 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Engkand Uwanja wa Stamford Bridge, London usiku huu. Bao lingine la Liverpool lilifungwa na Dejan Lovren dakika ya 17 wakati la Chelsea limefungwa na Diego Coasta dakika ya 61 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL HAWAFAI, SI WAMEIANGUSHA CHELSEA DARAJANI! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top