• HABARI MPYA

    Saturday, September 17, 2016

    KILIMANJARO QUEENS ILIVYOTOANA JASHO NA WAHABESHI JANA JINJA

    Mchezaji wa Tanzania Bara, Happy Hezron akigombea mpira na mchezaji wa Ethiopia katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge ya wanawake jana Uwanja wa Ufundi, Njeru, Jinja, Uganda
    Asha Rashid 'Mwalala' wa Kili Queens akigombea mpira na mchezaji wa Ethiopia
    Mchezaji wa Ethiopia akimtoka Fatuma Issa wa Tanzania
    Mchezaji wa Ethiopia akimiliki mpira katika ya wachezaji wa Tanzania
     Kikosi cha Tanzania katika mchezo wa jana
    Kikosi cha Ethiopia katika mchezo wa jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KILIMANJARO QUEENS ILIVYOTOANA JASHO NA WAHABESHI JANA JINJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top