• HABARI MPYA

    Thursday, September 15, 2016

    KENYA NDIYO WAMEJIFAIDIA ZAIDI KWA WAZENJI LEO, WAMEGONGA 11-0

    Na Mwandishi Wetu, JINJA
    ZANZIBAR imepoteza mchezo wa tatu mfululizo na wa mwisho katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA Challenge) baada ya kufungwa mabao 11-0 na Kenya leo mjini Jinja.
    Kipigo hicho kinafuatia vipigo vya 9-0 kutoka kwa wenyeji Uganda na 10-1 kutoka kwa Burundi katika michezo yake ya awali ya Kundi A.
    Zanzibar sasa inarejea nyumbani mikono mitupu kujipanga kwa ajili ya Challenge ya mwakani. 
    Kikosi cha Zanzibar kilichofungwa 9-0 na Uganda leo Jinja
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KENYA NDIYO WAMEJIFAIDIA ZAIDI KWA WAZENJI LEO, WAMEGONGA 11-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top