• HABARI MPYA

  Sunday, September 04, 2016

  KANU AGONGA HAT TRICK MAGWIJI WA ARSENAL WAKIWAPIGA 4-2 AC MILAN

  Mwanasoka wa zamani wa kimataifa wa Nigeria, Nwankwo Kanu akijivuta kupiga penalti kukamilisha hat-trick yake katika ushindi wa 4-2 dhidi ya AC Milan kwenye mchezo wa kirafiki baina ya magwiji wa Arsenal dhidi ya magwiji wa AC Milan ya Italia. Bao lingine la The Gunners lilifungwa na Robert Pires, wakati mabao ya Milan yalifungwa na Christian Vieri yote katika mchezo huo wa hisani, ambao sehemu ya mapato yake, Pauni Milioni 1 zitatumika kujenga viwanja vya mchezo huo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KANU AGONGA HAT TRICK MAGWIJI WA ARSENAL WAKIWAPIGA 4-2 AC MILAN Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top