• HABARI MPYA

    Saturday, September 17, 2016

    IHEANACHO AFUNGA MAN CITY IKISHINDA 4-0 ENGLAND

    Mshambuliaji chipukizi wa Manchester City, Kelechi Iheanacho (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo bao la pili dakika ya 25 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Bournemouth Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya City yamefungwa na Kevin De Bruyne dakika ya 15, Raheem Sterling (kulia) dakika ya 48 na Ilkay Gundogan dakika ya 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: IHEANACHO AFUNGA MAN CITY IKISHINDA 4-0 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top