• HABARI MPYA

  Wednesday, September 07, 2016

  HALI ILIKUWA TETE LEO NANGWANDA!

  Wachezaji wa Yanga SC, kutoka kulia Wazimbabwe Donald Ngoma, Thabani Kamusoko na wananchi Juma Abdul, Simon Msuva na Mwinyi Hajji Mngwali wakijadiliana namna ya kupiga mpira wa adhabu dakika za mwishoni katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Ndanda FC jioni ya leo Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara. Timu hizo hazikufungana. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HALI ILIKUWA TETE LEO NANGWANDA! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top