• HABARI MPYA

  Tuesday, September 06, 2016

  COSTA, MORATA, SILVA KILA MMOJA APIGA APIGA MBILI HISPANIA YAUA 8-0

  Diego Costa (katikati) akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza katika ushindi wa 8-0 wa Hispania dhidi ya Liechtenstein mechi ya kufuzu Kombe la Dunia kwa kanda ya Ulaya. Costa alifunga mabao mawili jana Uwanja wa Manispaa ya Reino de Leen mjini Leon, Hispania wakati mabao mengine yalifungwa na Sergi Roberto, David Silva mawili, Vitolo na Alvaro Morata mawili pia  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COSTA, MORATA, SILVA KILA MMOJA APIGA APIGA MBILI HISPANIA YAUA 8-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top