• HABARI MPYA

  Wednesday, September 07, 2016

  BRAZIL YAITANDIKA 2-1 COLOMBIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA

  Nyota wa Brazil, Neymar (kushoto), akipambana na mchezaji wa Colombia, Wilmar Barrios katika mchezo wa kufuzu Komne la Dunia mjini Manaus, Brazil jana, Brazil ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Joao Miranda dakika ya pili na Neymar dakika ya 74 wakati Marquinhos alijifunga dakika ya 36 kuipatia Colombia bao la kufutia machozi  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BRAZIL YAITANDIKA 2-1 COLOMBIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top