• HABARI MPYA

  Sunday, September 04, 2016

  BIN SLUM WATOA DOZI NZITO KOMBE LA URAFIKI, WAPIGA MTU 6-0

  Wachezaji wa timu ya Bin Slum Tyres kabla ya mchezo wa Kombe la Urafiki Uwanja wa Gymkhana, Dar es Salaam jana ambao walishinda 6-0 dhidi ya Sitaki Shari, mabao yao yakifungwa na Saidi Chilala matatu, Shaduli Alhadad mawili na lingine Nahodha Nassor Bin Slum ambaye hata hivyo jana alicheza chini ya kiwango kiasi cha kutiliwa shaka labda 'anahujumu timu'. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BIN SLUM WATOA DOZI NZITO KOMBE LA URAFIKI, WAPIGA MTU 6-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top