• HABARI MPYA

    Wednesday, September 07, 2016

    BILA RONALDO, MABINGWA WA ULAYA URENO 'WANYOROSHWA' 2-0 HADI HURUMA

    Nahodha wa Ureno katika mchezo wa jana wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Uswisi, Luis Nani akijifuta jasho baada ya kipigo cha mabao 2-0 katika mchezo ambao walimkosa tegemeo lao, Cristiano Ronaldo. Mabao ya Uswisi yalifungwa na Breel Embolo na Admir Mehmedi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BILA RONALDO, MABINGWA WA ULAYA URENO 'WANYOROSHWA' 2-0 HADI HURUMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top