• HABARI MPYA

    Sunday, September 04, 2016

    BIG SAM AANZA VYEMA ENGLAND, AICHAPA 1-0 SLOVAKIA UGENINI

    Adam Lallana akishangilia baada ya kuifungia England bao pekee la ushindi katika mchezo wa kwanza chini ya kocha mpya, Sam Allardyce dhidi ya Slovakia leo Uwanja wa Antona Malatinskeho mjini Trnava kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa kanda ya Ulaya PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BIG SAM AANZA VYEMA ENGLAND, AICHAPA 1-0 SLOVAKIA UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top