• HABARI MPYA

  Monday, September 19, 2016

  BENZEMA AFUNGA REAL MADRID YASHINDA 2-0

  Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la pili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Espanyol usiku wa jana Uwanja wa RCDE mjini Cornella de Llobregat. Bao lingine la Real lilifungwa na James Rodriguez PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BENZEMA AFUNGA REAL MADRID YASHINDA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top