• HABARI MPYA

    Tuesday, September 06, 2016

    BALE AFUNGA MAWILI WALES YASHINDA 4-0 KUFUZU KOMBE LA DUNIA

    Gareth Bale wa Wales akiuinua mpira kumfunga kipa wa Moldova katika ushindi wa 4-0 kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa kanda ya Ulaya Uwanja wa Cardiff mjini Cardiff jana. Bale alifunga mabao mawili moja kwa penalti na mengine yalifungwa na Sam Vokes na Joe Allen PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BALE AFUNGA MAWILI WALES YASHINDA 4-0 KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top