• HABARI MPYA

  Thursday, September 08, 2016

  AZAM FC NA PRISONS KATIKA PICHA JANA SOKOINE

  Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' (kulia) akimtoka mchezaji wa Prisons katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Azam FC ilishinda 1-0
  Gonazo Bi Thomas wa Azam FC (kushoto) akitafuta maarifa ya kumpiga mchezaji wa Prisons
  Nahodha wa Azam FC, John Bocco (kushoto) akimtoka mchezaji wa Prisons
  Himid Mao wa Azam FC akimtoka mchezaji wa Prisons
  Bruce Kangwa wa Azam FC (kulia) akigombea mpira na mchezaji wa Prisons
  Kikosi cha Prisons jana Uwanja wa Sokoine
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC NA PRISONS KATIKA PICHA JANA SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top