• HABARI MPYA

    Thursday, September 15, 2016

    AGUERO APIGA HAT TRICK MAN CITY YASHINDA 4-0 ULAYA

    Nyota wa Argentina, Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao matatu peke yake katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Borussia Monchengladbach katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Etihad. Bao lingine la City lilifungwa na Kelechi Iheanacho PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AGUERO APIGA HAT TRICK MAN CITY YASHINDA 4-0 ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top