• HABARI MPYA

  Tuesday, August 02, 2016

  TIPPO WA ZIZZOU FASHIONS AWAPIGA TAFU MWANZA ALL STARS

  Mkurugenzi wa maduka maarufu ya nguo za kijanja ya Zizzou Fashions, Athumani Tippo (mwenye kofia kulia) akimkabidhi vifaa vya michezo, Nahodha wa Mwanza All Stars, Juma Amir Maftah 'Pele wa Mwanza' juzi Ilemela mjini Mwanza. Wachezaji waliong'ara na timu mbalimbali Mwanza wameungana kuanzisha timu yao, iitwayo Mwanza All Stars na Tippo, mchezaji wa zamani mkoani humo, alirejea nyumbani kutoka Dar es Salaam kwenda kuisaidia vifaa vya mazoezi timu hiyo, ikiwemo seti ya jezi na mipira mitano. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TIPPO WA ZIZZOU FASHIONS AWAPIGA TAFU MWANZA ALL STARS Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top