• HABARI MPYA

    Friday, August 05, 2016

    SAMATTA ALIPOAMUA 'KUWATWANGA FOTO' WASHKAJI ZAKE GENK

    Mshambuliaji wa KRC Genk ya Ubelgiji, Mtanzania Mbwana Samatta akiwapiga picha wachezaji wenzake wakati walipokuwa safarini kwenda Ireland juzi usiku kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Europa League dhidi ya wenyeji Cork City FC. Mchezo huo ulifanyika jana Genk kushinda 2-1 hivyo kufuzu kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-1 baada ya wiki iliyopita kushinda 1-0 nyumbani
     
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAMATTA ALIPOAMUA 'KUWATWANGA FOTO' WASHKAJI ZAKE GENK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top