• HABARI MPYA

    Tuesday, August 02, 2016

    DZEKO NA SALAH WAIADHIBU LIVERPOOL, YAPIGWA 2-1 NA ROMA

    Nyota wa zamani wa Chelsea, Mohamed Salah akiifungia bao la ushindi AS Roma ikiilaza 2-1 Liverpool katika mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa mjini St Louis. Bao lingine la Roma lilifungwa Edin Dzeko, wakati la Liverpool lilifungwa na Sheyi Ojo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DZEKO NA SALAH WAIADHIBU LIVERPOOL, YAPIGWA 2-1 NA ROMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top