• HABARI MPYA

    Sunday, July 17, 2016

    YANGA SC NA MEDEAMA KATIKA PICHA JNA TAIFA

    Kiungo Mzambia wa Yanga, Obrey Chirwa akiwatoka wachezaji wa Medeama FC ya Ghana katika mchezo wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam timu hizo zikitoka sare ya 1-1 
    Mshambuliaji Mzimbabwe wa Yanga, Donald Ngoma akimuacha nyuma beki wa Medeama baada ya kumlanga chenga nzuri 
    Mshambuliaji Mrundi wa Yanga, Amissi Tambwe (kulia) akigombea mpira na beki wa Medeama
    Donald Ngoma akimtoka beki wa Medeama jana Uwanja wa Taifa
    Kiungo wa Yanga, Simon Msuva akitafuta maarifa ya kumpiga beki wa Medeama
     Kiungo wa Yanga, Mbuyu Twite akipambana na kiungo wa Medeama  
     Makocha wa Yanga, kutoka kushoto Mholamnzi Hans van der Pluijm, Juma Mwabusi na Menejea,mHafidh Saleh 
    Wachezahu wa Yanga na Medeama wakitoka kwenye vyumba kuingia uwanjani
     Kikosi cha Medeama jana Uwanja wa Taofa
    Kiko cha Yanga kilichotoa sare ya 1-1 na Medeama jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC NA MEDEAMA KATIKA PICHA JNA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top