• HABARI MPYA

    Sunday, July 17, 2016

    WATOTO WA MAREHEMU DK REMMY ONGALA WALIVYOPAGAWISHA KIGAMBONI

    Wanamuziki wa bendi ya Ongala Classin, Godfrey Ongala (kulia) na Thomas Ongala (kushoto) wakitumbuiza kwenye ukumbi wa Nolasco Pub, Kigamboni, Dar es Salaam usiku huu
    Watoto hao wa mwanamuziki gwij wa zamani nchini, Dk Remmy Ongala (sasa marehemu) walikonga nyoyo kwenye onyesho lao
    Kutoka kulia God Ongala, Thom Ongala na mwanahisa mwenzao katika bendi hiyo, Jimmy Chizi 
    Pamoja na kupiga nyimbo zao, pia waliimba nyimbo za marehemu baba yao, ukiwemo 'Kifo' ambao uliowasisimua wengi ukumbini hapo
    Watu wakifurahia burudani ya Ongala Classic Band ndani ya ukumbi wa Nolasco Pub

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WATOTO WA MAREHEMU DK REMMY ONGALA WALIVYOPAGAWISHA KIGAMBONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top