• HABARI MPYA

  Tuesday, July 19, 2016

  VIFAA VYA LUPOPO VILIVYOWASILI KWA MAJARIBIO SIMBA SC

  Mshambuliaji Masanga Masoud Cedric (kushoto), kiungo Sanga Bahende (katikati) wote kutoka St Eloi Lupopo ya DRC wakiwa na Katibu wa Simba, Patrick Kahemele (kulia) baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) juzi usiku kwa ajili ya majaribio ya kujiunga na klabu hiyo. Wawili hao wamepelekwa kambini Morogoro.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: VIFAA VYA LUPOPO VILIVYOWASILI KWA MAJARIBIO SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top