• HABARI MPYA

  Tuesday, July 19, 2016

  SOTO ALIVYOANZA KUMREJESHA KAZINI KAPOMBE TARATIBU LEO CHAMAZI

  Mtaalamu wa viungo wa Azam FC kutoka Hispania, Sergio Perez Soto akimfanyisha mazoezi beki wa timu hiyo, Shomary Kapombe asubuhi ya leo kwenye gym ya klabu hiyo ndani ya viunga vya Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam
  Kapombe ameanza mazoezi leo baada ya kuwa nje ya Uwanja tangu Aprili kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa Pulmonary Embolism (donge la damu kuziba mishipa ya damu katika mapafu).
  Kapombe sasa anapambana ili kuwa fiti aweze kurejea uwanjani msimu ujao
  Leo ameanza taratibu mazoezi ya gym na atakuwa akiongeza kasi taratibu kadiri siku zinavyokwenda

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SOTO ALIVYOANZA KUMREJESHA KAZINI KAPOMBE TARATIBU LEO CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top