• HABARI MPYA

  Tuesday, July 19, 2016

  RATIBA KAMILI YA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA 2016/2017

  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) leo limetoa ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, ambayo itaanza Agosti 20 kwa mechi saba kuchezwa kwenye viwanja tofauti, ikitanguliwa na mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Azam na Yanga Agosti 17, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.


  RATIBA KAMILI YA LIGI KUU GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RATIBA KAMILI YA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA 2016/2017 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top