• HABARI MPYA

    Wednesday, July 20, 2016

    POGBA NA LUKAKU WAKIJIFUA KWENYE JUA MAREKANI

    Kiungo Mfaransa wa Juventus ya Italia, Paul Pogba (kulia) anayetakiwa tena na klabu yake ya zamani, Manchester United akiwa na mshambuliaji Mbelgiji, Romelu Lukaku wakifanya mazoezi kwenye jua la asubuhi mjini Miami, Marekani Jumanne  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: POGBA NA LUKAKU WAKIJIFUA KWENYE JUA MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top