• HABARI MPYA

  Saturday, July 16, 2016

  MOURINHO AANZA NA USHINDI WA 2-0 MAN UNITED

  Mshambuliaji wa Manchester United, Will Keane (kulia) akishangilia na kiungo Juan Mata baada ya kufunga bao katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji Wigan kwenye mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa DW, huo ukiwa mwanzo mzuri kwa kocha mpya Mreno, Jose Mourinho. Bao lingine la United lilifungwa na kiungo Andreas Pereira  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MOURINHO AANZA NA USHINDI WA 2-0 MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top