• HABARI MPYA

  Thursday, July 14, 2016

  MEDEAMA WAWASILI DAR NA MKWARA KUIPIGA YANGA 2-0

  Mchezaji wa Medeama FC ya Ghana (katikati) akionyesha vidole viwili  baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam mchana wa leo kwa ajili ya mchezo wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, Yanga SC Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
  Jamaa aliendelea kuonyesha vidole viwili hadi anakwenda kupanda basi kuelekea hotelini, akimaanisha wataipiga Yanga 2-0 
  Wachezaji wengine walitoka JNIA bila mbwembwe 
  Wengine walitoka wanafanya mikakati kama hawa
  Medeama wamekuja na mizigo mingine, mingine wamebeba vyakula

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MEDEAMA WAWASILI DAR NA MKWARA KUIPIGA YANGA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top