• HABARI MPYA

    Tuesday, July 19, 2016

    MCHINA ALIVYOMVUNJA MGUU DEMBA BA JUZI HADI HURUMA!

    Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea na West Ham, Msenegali Demba Ba (kulia), anayechezea Shanghai Shenhua kwa sasa akiugulia maumivu baada ya kuchezewa rafu mbaya na Nahodha wa Shanghai SIPG, Sun Xiang Jumapili katika mchezo wa mahasimu wa Ligi Kuu ya China Jumapili. Katika mchezo huo, ambao Shenhua walishinda 2-1, Ba alivunjika mguu na kwa sasa amelazwa hospitali China huku taarifa zikisema atakuwa nje ya Uwanja kwa muda usipungua miezi saba  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MCHINA ALIVYOMVUNJA MGUU DEMBA BA JUZI HADI HURUMA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top