• HABARI MPYA

    Sunday, July 17, 2016

    MAFUNDI HAWA WALIIPA HESHIMA YAKE TAIFA STARS

    Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kutoka kulia Edibily Lunyamila, Mwanamtwa Kihwelo, Sekilojo Chambua na Mathod Mogella (sasa marehemu) wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kuwait City Mei 13, mwaka 1993 kusubiri kuunganisha ndege kwenda Liberia kwa ajili ya mchezo dhidi ya wenyeji kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 1994
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAFUNDI HAWA WALIIPA HESHIMA YAKE TAIFA STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top