• HABARI MPYA

  Wednesday, July 13, 2016

  LIVERPOOL YAUA 5-0 MECHI YA KIRAFIKI HIGHBURY, FIRMINO APIGA MBILI

  Kiungo wa Liverpool, Marko Grujic akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Fleetwood Town kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa Highbury, Fleetwood mjini Lancashire. Mabao mengine ya Liverpool yalifungwa na Ben Woodburn, Lucas Leiva na Roberto Firmino mawili, wakati mkwaju wa penalti Danny Ings uliookolewa na Chris Neal baada ya Grujic kuchezewa faulo katika mchezo ambao Sadio Mane, Louis Karius na Joel Matip wote walianza  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAUA 5-0 MECHI YA KIRAFIKI HIGHBURY, FIRMINO APIGA MBILI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top