• HABARI MPYA

  Wednesday, July 20, 2016

  LEICESTER CITY YAANZA MSIMU MPYA KWA USHINDI ENGLAND

  Kiungo wa mabingwa wa England, Leicester City, Danny Drinkwater akiumiliki mpira wa juu kwa ustadi katikati ya wachezaji wa Oxford United usiku wa Jumaanne Uwanja wa Kassam katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na msimu mpya. Leicester ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Demarai Gray dakika ya 28, ambalo lilikuwa la kusawazisha baada ya Chris Maguire kutangulia kuifungia Oxford na Jeffrey Schlupp dakika ya 69  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEICESTER CITY YAANZA MSIMU MPYA KWA USHINDI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top